Sababu Za Dady Yo Ya Wizkid Kuhusishwa Hollywood

Muigizaji Wa Uingereza Mwenye Asilu Ya Nigeria, John Boyega ametaja kilichosababisha Wimbo 'Dady Yo' wa Wizkid kuhusika Kama Soundtrack Kwenye Movie yake 'Pacific Rim'

Staa huyo wa 'Detroit' na 'Star Wars' amesema alifikiria kutumia vitu vigeni vyenye ushawishi na ndipo hapo akagundua alihitaji Muziki aina ya Afrobeats Kwenye movie hiyo ya 'Action'

Staa Huyo pia aliongeza kwamba 'Pacific Rim' itaelekezwa sana Nigeria kama nchi ambayo itakuwa soko kubwa la Filamu hiyo.

John Biyega kwenye Instagram yake ameandika

“One of the most exciting things about producing Pacific Rim Uprising was the opportunity to influence the creative choices.

”So I put @wizkidayo song “Daddy yo” in the movie. Jaegers need afrobeats too!

“Oh yeah… here’s a video of me listening to this very song. Cool, calm and collected. I think”.