WIZKID KU "PERFORM" COACHELLA NA EMINEM...

The Starboy, ni miongoni mwa wasanii ambao majina yao yametokea katika listi ya wasanii wataotumbuiza katika tamasha kubwa la musiki la "Coachella Valley Music and Arts Festival, ambalo litafanyika tarehe !3 April mpaka 22 April 2018.


Pia katika tamasha hilo kuna listi ndefu ya majina makubwa kama game ya muziki nchini Marekani kama Eminem, Beyonce, Neyo, The Weeknd na wengine wengi. Kwa taarifa ni kwamba Wizkid anaweza kuperform siku ya jumamosi tarehe 14 April au 21 kama ambavyo kundi lingine linalowahusisha wakina Post Malome na Tyler The Creator.