NO 02 ON TRENDING:FID Q FT DIAMOND PLATNUM & RAYVVANY-FRESH

Remix ya wimbo wa Fresh ya Mkali Fid q aliowashirikisha wasanii kutoka Wasafi Diamond Platnumz na Heat Maker wa wimbo wa Siri Rayvvany watamba kwenye mtandao wa Youtube.


 Wimbo wa Fresh wa Fid q aliowashirikisha Diamond Platnumz na Rayvvany unaongoza kuwa video namba mbili inayoongoza kutazamwa na watu 355,370 na ujumbe wa maoni 864 na kuwa video ya pili inayotazamwa sana kwenye mtandao wa Youtube

GUSA HAPA KUITAZAMA