NEW VIDEO:DULLY SYKES-COCONUT

Mkali na mwanamuziki wa muda mrefu pia Heatmaker wa wimbo wa Bombardier Prince DullySykes amerelease new Joint inayoitwa Coconut.


PrinceDullySykes amerelease new Audio na Video ya wimbo mpya wa Coconut ikiwa wimbo wa Bombardier inamwezi mmoja na nusu tangu itoke mwaka jana Nov 17,Audio ya wimbo huo umetayarishwa na mtayarishaji Studio4point12 na Video ya wimbo huo imeongozwa na Director Jowzey.

 GUSA HAPA KUITAZAMA