NEW VIDEO:BELLE 9-MFALME

Mkali wa miondoko ya Rnb Belle9 Bwana harusi aliyeuaga ubachela mwaka jana hatimaye amerelease video ya wimbo wake wa Mfalme.


Belle9 mwaka jana rumours za kufunga ndoa kimyakimya zilizisika lakini baada ya muda kidogo alithibitisha kweli amefunga ndoa mwaka jana,This time around amerelease video mpya ya wimbo wa Mfalme wakati Audio ya Video hii alirelease miezi sita iliyopita.

 Na kwa mwaka jana Belle9 na G nako waliungana na kufanya kazi kwa pamoja na kufanikiwa kutoa nyimbo kadhaa na kuweka mipango yao kama kikundi cha muziki,lakini walipohojiwa walisema kuwa mipango waliyoipanga haikufanikiwa kufanyika.

 GUSA HAPA KUITAZAMA VIDEO MPYA YA BELLE9 MFALME