NEW VIDEO-BEN POL FT WYSE-BADO KIDOGO

Mkali wa miondoko ya Rnb Bernad Paulo BenPol this time around amerelease new joint ya wimbo wa BadoKidogo.

 Siku ya leo ya tarehe 02-01-2018 Ben Pol amerelease wimbo mpya unaitwa Bado kidogo ambao amemshirikisha msanii Wyse na video ya wimbo huo umefanywa na Director Hanscanna na audio imetayarishwa na mtayarishaji TiddyHotter na mpaka sasa umetazamwa mara 2,916 kwenye mtandao wa Youtube na kuwa na ujumbe wa maoni 75

GUSA HAPA KUITAZAMA