NEW AUDIO:RUBY-ARE YOU READY

Mwanadada anayevawatia mashabiki zake kwa sauti yake na mashairi ya nyimbo zake Ruby amerelease wimbo mpya unaoitwa ARE YOU READY.

 Kwa muda mrefu msanii Ruby amekuwa kimya kwenye muziki na hatimaye sasa kwa mwaka 2018 amerudi tena na wimbo mpya wa mapenzi unaoitwa ARE YOU READY.

ARE YOU READ KUUSIKILIZA WIMBO MPYA WA RUBY GUSA HAPA KUUSIKILIZA.