NEW VIDEO:NINI FT NAY WA MITEGO-NIWE DAWA

Mwanadada mrembo kwenye game ya BongoFleva Nini amerelease new audio na video ambayo amemshirikisha mkali Ney Wa Mitego(Mr Nay).

 Mrembo Nini inasemekana kuwa anatoka kimapenzi na mkali Nay Wa Mitego,Na sasa wamefanya kazi ya pamoja ambayo imetayarishwa na mtayarishaji Awesome kwenye studio za FreeNation na video imefanya na Director Deo Abel pia kwenye mashairi yaliyotumika kwenye wimbo huo wa Dawa yanamaudhui ya mapenzi,kwenye wimbo huo Nini ameanza kwa kuimba na mmiliki wa wimbo huo wa Dawa.

 GUSA HAPA KUUTAZAMA