OMBI LA RAY C KWA RAIS MAGUFULI NI KUHUSU WANAWAKE KUOLEWA...


Msanii wa muziki Bongo, Ray C ametoa ombi kwa Rais Dkt. John Magufuli kuhusu wanawake kuolewa.

Muimbaji huyo amependekeza kuwa kusiwepo na mahusiano kati ya mwanamke na mwanaume hadi ndoa ili wanawake wengi waweze kuolewa. Kupitia Instagram yake ameandika...
 July mwaka jana Ray C alikaririwa na kipindi cha FNL cha EATV akisema hayupo katika mahusiano na mtu yeyote kwani ameshapoteza muda katika mambo hayo hivyo hawezi kumpatia mtu nafasi hiyo tena kwani akili yake kwa sasa ameielekeza kwenye kazi.