LADYJAYDEE:SABABU HIZI NDIZO ZINANIFANYA NIDUMU KWENYE MUZIKI


Legendary wa muziki wa Bongo Fleva mwanadada LadyJayDee ameeleza sababu za yeye kudumu kwenye tasnia ya muziki.

LadyJayDee amesema kuwa sababu zinazomfanya kudumu kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva ni kupenda anachokifanya..,'Napenda kitu ninachokifanya na ninafanya kwa adabu na heshima zote kwa sababu muziki kwangu ni biashara na ndiyo kazi,'
'SABABU HIZI NDIZO ZINANIFANYA NIDUMU KWENYE MUZIKI'LADYJAYDEE