HIZI PICHA NNE ZA CIARA ZITAKUFANYA UFIKIRIE VINGINE...


Ciara ambaye mwaka 2017 umekuwa bora kwake baaada ya kusaini katika lebo kubwa ya muziki duniani, Warner Bross Record, pamoja na kupata mtoto wa kike, basi leo ameamua kutuonyesha mwili wake ulivyokuwa mzuri, tazama hizi picha alizopost katika ukurasa wake wa instagram,,,
pelekakushoto kutazama zote...
A post shared by Ciara (@ciara) on