HIZI NDIZO NYIMBO 2 HAZIKUKISIKIKA SANA MWAKA JANA LAKINI ZILIPEWA NAFASI SANA KWENYE KUMBI ZA STAREHE USIKU WA MWAKA MPYA

Ngoma hizi mbili hazikuwa heat kivile kwenye masikio ya watanzania wengi mwaka jana lakini kwenye kumbi za starehe usiku wa kuamikia 2018 zilipewa nafasi sana kwa kupigwa zaidi ya mara moja kwenye club nyingi jijini Dar es Salaam.