HEMED MWAKA 2018 UMEANZA KWA KIPIGO

Msanii mwenye talent zaidi ya moja(kuigiza)pamoja na (kuimba),Hemed PHD,ameanza mwaka kwa kuibiwa na watu wasiojulikana pesa kiasi cha laki Nane.

Hemed alikutana na maswala huo akiwa mjini mbeya alipokuwa ameenda kupiga show kule.Alisema baada ya kumaliza show mjini Mbeya alialikwa na Mbuge wa kuule Muheshimiwa SUGU kwenda kumtmbelea nyumbani kwake hivyo alitoka na kuacha kiasi hicho hotelini pamoja na vitu vingine kama laptop na mabegi alikini waliporudi walikuta vitu vyote vimekobwa na watu wasiojulikana kitu ambacho kiliwachanganya sana.

Aidha aliongeza kwa kusema wanafatilia mpaka sasa ilikujua tukio hio lilikuwaje na taarifa zimeshafika mahala panapo stahili.