FUTURE AFUTA POST ZOTE INSTAGRAM, KUNANI?


Listi ya wasanii wa aina hii inaendelea, baada ya Tyga kufuta post zote za Instagram mwaka jana mwishoni sasa ni zamu ya future ambaye siku ya jana tarehe 03 almeamua kufuta post zake zote katika ukurasa wake wote bila kujua sababu ni zipi.