Cardi B Kwenye Finesse Remix Ya Bruno Mars, Amekubali Kurudi 90's

Fresh kutokea kwenye Albamu yake "24K Magic" aliyoiachia mwaka Jana (2017), Bruno Mars ameifanya remix ya ngoma "Finesse" na wakati huu akiwa na mvunja Rekodi za Billboard Cardi B.

Finesse yenye vionjo vya muziki uliotamba miaka ya 90 inabadilisha rapstyle ya Cardi B kwa kumfanya atambae na Beat za kizamani zisizokua na Vibes kama za Bodak Yellow na Bartier Cari.

Unaweza Kuisikiliza/Kudownload Kwa Kubonyeza Hapa.