NEW VIDEO:RAYVANNY FT NIKKI WA PILI-SIRI

Heat maker wa wimbo wa Makulusa aliowashirikisha wakali kama Dj Buckz na Maphorisa wa SouthAfrica Rayvanny ambaye pia ni member wa Wasafi Records this time around amerelease new video ya wimbo mpya ya Siri.

Ikiwa zimepita siku tisa tangu Rayvvany alivyotoa wimbo wa Makulusa na kuachia tena wimbo mpya unaoitwa Siri ambao mpaka sasa unawatazamaji 84,000 kwenye mtandao wa Youtube na ujumbe wa maoni 853.
Wimbo wa Siri wa Rayvvany umetayarishwa na Laizer na video ya wimbo umeandaliwa na Director Elis Mzava,ukiwa na vionjo vya muziki wa Dance ulioimba na msanii Nguli wa muziki wa dance Hussein Jumbe Siri ya Mapenzi 

GUSA HAPA KUUTAZAMA