NEW AUDIO: ORBIT – 1000_100,000


Heat maker wa Makaveli Orbit amerelease wimbo mpya this time around ambao unaitwa Buku kuwa laki.

  Orbit ametoa wimbo wa Buku kuwa Laki ambao pia amezungumzia maisha ya kimuziki na matukio yanayotokea kwenye muziki wake kutokana na maswali mengi ya mashabiki na kuwa eleza kuwa yupo busy kubadilisha (nabadilisha buku kuwa laki) kwa maana ya kupambana kuelekea kwenye mafanikio.

                         GUSA HAPA KUISIKILIZA