CHRIS BROWN KAACHIA ALBAM NYINGINE MPYA ISIKILIZE HAPA...


Kuelekea Christmas, nyota mkali wa muziki wa Rnb Nchini Marekani, Chris Brown amefanya suprise kwa mashabiki zake baada ya kuachia Albam namba mbili aliyoipa jina la HeartBreak On A Full Moon: Deluxe Edition: Cuffing Season -12 Days Of Christmas ambayo kaipa ngoma 12 huku Tripple Red, Sollo Lucci na wengineo wakila mashavu humo ndani na yule anaedhaniwa kuwa ni girlfriend wake AgnezzMo pia kahusika.Sherekea Christmas kwa kumsikiliza Chris Brown hapa chini...