BOW WOW KADATE NA KIM KARDASHIAN, TWITTER YAMJIA JUU...

Bow Wow asipofunga mwaka basi lazima afungue mwaka kwa jambo lolote la kumuonyesha kwamba bado yupo, baada ya mwishoni mwa mwaka jana kusema kuwa ana ndege yake binafsi sasa mwaka huu kaja na hii kwamba alishawahi kutoka kimapenzi na Kim Kardashian.

Katika mahojiano na Hollwood Unlocked Bow Wow amesema ameshawahi toka na Mrs Kanye na walifanya siri ili asijue mtu yoyote.

"We was cool, we remained friends,” Bow Wow said And this was right before Reggie Bush,” Bow Wow explained at the 49-minute mark. “The reason nobody knew is because of how I move. We kicked it hard … I’m just so nervous because I never really dated outside my race before, this is different for a nigga. I don’t know how my fans going to look at it … so I kept that shit low and nobody really knew"

Angalia full interview hapa chini...