WEMA SEPETU AJITABIRIA KIFO...

Kupitia mtandao wake wa Instagram madam wa Bongo Movie, Wema Sepetu amepost picha yake inayoonekana kuwa ya zamani kidogo na kuandika ujumbe mzito ambao umewashtua wengi sana na kufanya wengi kumpa pole bila kujua nini tatizo, wengine wakihisi kuwa ni nyimbo za Diamond platnumz zilizotoka jana (Nov 28) kuwa zinamgusa yeye.