WAJUE CELEBRITIES WENYE MAJINA MAGUMU... AKON YUPO!


Kuna baadhi ya majina ya watu maarufu ni magumu balaa, sio tu katika uandishi bali hata katika kuyatamka kwa mfano jina la mwigizaji aliyekuwa pichani hapo juu. QUVENZHANE WALLIS,jina lileta utata katika sherehe za ugawaji wa tuzo za Oscar mwaka 2012 ambapo mtangazaji alishindwa kulitamka vizuri wakati akilitaja jina la dogo huyo aliyekuwa mmoja wa nominee wa tuzo hizo zenye heshima.

Baada ya tukio la mtangazaji kushindwa kulitamka jina la Quvenzhane mwigizaji Jamie Foxx ambaye alikuwa anatarajia kufanya kazi na Quvenzhane katika movie ya ANNIE, aliandaa kwaya na akawa anaimba jina la Quvenzhane huku akiwafundish watu jinsi ya kutamka jina hilo,alifanya hivi kama ni njia ya kumkaribisha Quvenzhane katika cast ya movie ya ANNIE.

YVONNE STRAHOVSKI,mwanadada huyu aliyevuma na series ya Chuck jina lake limekuwa gumzo sana kwa mashabiki wake kutokana na ugumu wake.

ADELE EXARCHOPOLOUS, Mrembo huyu toka Ufaransa jina lake la mwisho ni gumu ukafikiri kama halijawahi kuwepo duniani.

AKON, unaweza shangaaa kuwa Akon anafanya nini kwenye hii list....Jibu ni kuwa (Akon) jina lake kamili ni ALIAUNE DAMALA BOUGA TIME BONGO PURU NACKA LU LU BADARA AKON THIAM, hili ndilo jina alilopewa kwao Senegal lakini alipokuja pande za Trump kutafuta maisha kupitia kazi zake za music akafupisha kwa kujiita AKON.  ADEWALE AKINNUOYE-AGBAJE, Mbabe huyu aliyekimbiza na series ya LOST na movie ya SUICIDE SQUAD.

ZACH GALIFIANAKIS,comedian huyu alifanya poa na movie ya HANG OVER,jina lake la kwanza halina shida ngoma ni hili jina lake la mwisho yani unaweza ukatambikia kabisa hahaha.  HAYDEN PANETTIERE,Kama ushawahi tazama series ya HEROES au movie ya SCREAM 4 basi mrembo huyu hatakuwa mgeni machoni au masikioni pako.Jina lake la mwisho lina-sound kama mata 
Cred:NewsFid