WIZ KHALIFA "ROLLING PAPERS 2" IPO TAYARI...

Wizk Khalifa never sleep! True that, kwa miaka kumi sasa Wiz Khalifa ameweza ku 'maintain Carrier' yake ya muziki na bado kathibitisha kuwa hatolala kamwe baada ya kutangaza ujio mpya wa albamu yake ya ''Rolling Papers 2'' na kuwa album hiyo ipo tayari na ataiachia soon tu pale atakapo ''drop'' nyimbo chache siku zijazo.


Mara ya mwisho Wiz Khalifa kuachia album ilikuwa mwaka 2014 "Blacc hollywood" ambayo ili contain track kali kama Promises na nyingine nyingi.


CHEKI COUNTRY BOY Alivyopita kwenye BEAT ya FRESH ya Fid Q kwenye THE PLAYLIST