VIDEO: IZZO B, BILL NASS, MAFIKIZOLO, AVRIL, NYASHINSKI WALIVYO PERFORM KWENYE COKE STUDIO AFRICA


Angalia wakali kibao wakiperform kwenye COKE STUDIO AFRICA, Mafikizolo wanafanya COVER ya Mkali kutoka Kenya, Nyashinski wakirudia ngoma yake ya Malaika.


Huku Nyashinski nae akifanya COVER ya ngoma yao Khona.


Izzo B kutoka Bongo anakutana na Mrembo wa Kenya, Avril wanafanya ThrowBack ngoma ya zamani (Kanjoni Kanja Mabata) 


Mkali Bill Nass anapewa Shavu na Sheebah na Asegegnew Ashko kwenye Big Break.


Wanarudi tena Mafikizolo kutoka Afrika Kusini wakiwa na Nyashinski wa Kenya kufanya ngoma yao iliyoandaliwa na Producer mkali wa SA, Sketch Bongo kwenye Original Song.


 Angalia show ilivyokuwa:-

COKE STUDIO AFRICA Ni kila Jumamosi Saa 12 jioni kupitia CloudsTV.