TYGA: UKITAKA NIMUONGELEE MTOTO WA KYLIE NILIPE KWANZA!

Update iliyotoka kwa Boss na Rapper wa Lastking Records Tyga, ni kuwa ukitaka amuongelee kylie Jenner na ujauzito wake basi first unatakiwa umpe cheki halafu ndiyo ukae nae chini mzungumze.
Hilo limetokea mitaa ya Los Angeles ambapo Tyga alikuwa anatoka kula chakula cha usiku katika moja ya migahawa maeneo hayo.

Shuhudia hapa chini Tyga akimjibu paparazi wa TMZ...
Part3: HEMEDY PHD 'Kwanini Hemedy anajiita Jesus Cousin'?