TOP 5: NYIMBO ZILIZOSIKILIZWA SANA 2017...

Bado ushindani unakua mkubwa kwa wasanii wa nchi za mataifa ya ulaya kutokana na kupiganiana mashabiki lakini pia na ubora wa kazi zao.

Sasa kutokana na chart za Billboard basi hizi hapa chini ndiyo nyimbo 5 zilizosikilizwa sana katika ''Platforms'' tofauti tofauti mpaka sasa kwa mwaka 2017...

 5. MASK OFF - FUTURE
4. HUMBLE - KENDRICK LAMAR3. SHAPE OF YOU - ED SHEERAN2. I'M THE ONE - DJ KHALEED1. Luis Fonsi, Daddy Yankee - Despacito (Remix ) ft. Justin Bieber