TOP 5: MOST STREAMED SONGS ON SPOTIFY


Namna ya ku support muziki kwa nchi za ughaibuni imekuwa ni kama kitu cha kwaida kutokana na kuwa na njia nyingi kutumika kufanya hivyo, sasa leo nimekuletea nyimbo kali 5 ambazo zimetikisa kwa kuwa ''STREAMED'' katika mtandao wa Spotify kwa mwezi wa 9 na wa 10.

1. Rockstar by POST MALOME ft 21 SAVAGE - streams 5,689,997


2. New Rules by DUA LUPA - streams 3,236,312

3. Too Good At Goodbyes by SAM SMITH - streams 3,024,243

4. Havanna by CAMILA CABELLO - 2,871,298

5.Dusk till dawn by ZAYN - sreams 2,841,710