TOP 10 YA WACHEZAJI HATARI WALIOCHWA FREE KWENDA KLABU NYINGINE...

Imekua kama kitu cha kawaida sana kwa soka la ulaya pale wachezaji wanapokua majeruhi, kushuka kiwango au kumaliza mikataba yao basi wanaenda Klabu nyingine kwa dau dogo au kuachwa na kuchagua kwenda bure timu nyingine.

Sasa leo nimekuletea Top 10 ya wachezaji walioachwa bure lakini wamekua hatari zaidi baada ya kupata timu nyingine...

1. Zlatan Ibrahimovic

Kutoka PSG kwenda Manchester United
mwaka: 2016
Amecheza mechi: 46 na kufunga goli 28
Makombe aliyoshinda: Europa League, EFL Cup, Community Shield


 2. Sol Campbell

Kutoka Tottenham kwenda Arsenal
Muda katika Club: 2001
Amecheza mechi: 211na kufunga goli 12
Makombe aliyoshinda: Premier League x 2, FA Cup x 3, Community Shield3. Robert Lewandowski

Kutoka Borussia Dortmund kwenda Bayern Munich
Mwaka: 2014
Amecheza mechi: 158 na kufunga goli 122
Makombe aliyoshinda: Bundesliga x 3, DFB-Pokal, DFL-Supercup


 4. Esteban Cambiasso

Kutoka  Real Madrid Kwenda Inter Milan
Mwaka: 2004
Amecheza mechi: 420 na kufunga goli 51
Makombe aliyoshinda: Serie A x 5, Champions League, Coppa Italia x 4, Supercoppa Italiana x 4, FIFA Club World Cup5.  Steve McManaman

Kutoka Liverpool kwenda Real Madrid
Mwaka: 1999
Amecheza mechi: 152 na kufunga goli 14
Makombe aliyoshinda: La Liga x 2, Supercopa de Espana x 2, Champions League x 2, UEFA Super Cup


6.   Paul Pogba

Kutoka Manchester United kwenda Juventus
Mwaka: 2012
Amecheza mechi: 178 na kufunga goli 34
Makombe aliyoshinda: Serie A x 4, Supercoppa Italiana x 2, Coppa Italia x 2

 
7.  Michael Ballack

Kutoka Bayern Munich kwenda Chelsea
Mwaka: 2006
Amecheza mechi: 166 na kufunga goli 25
Makombe aliyoshinda: Premier League, FA Cup x 3, League Cup, Community Shield


 
8.  Roberto Baggio

Kutoka AC Milan kwenda Bologna
Mwaka: 1997
Amecheza mechi: 33 na kufunga goli 23
Ameshinda makombe: 0


9.  Jay-Jay Okocha

Kutoka PSG kwenda Bolton Wanderers
Mwaka: 2002
Amecheza mechi: 126 na kufunga goli 14
Makombe aliyoshinda: 010.  Andrea Pirlo

Kutoka AC Milan kwenda Juventus
Mwaka: 2011
Amecheza mechi: 164 na kufunga goli 19
Makombe aliyoshinda: Serie A x 4, Supercoppa Italiana x 2, Coppa Italia