TID 'KUTOA NYIMBO NYINGI MARA KWA MARA NI KUTOKUJIAMINI NA UROHO WA KUTAKA KUSIKILIZWA


Msikilize hapa TID Mnyama amepinga madai ya kusema kutoa nyimbo nyingi ni kitu sawa sawa kwa msanii kwani anakaa kwenye rotation na kujiwekea nafasi ya kupendekezwa kwenye tuoz mbalimbali na kuonesha uwezo wa msanii kufanya kazi.

TID amesema 'to me ukiniambia kutoa nyimbo nyingi kwa wakati mmoja i don't think kama ni kitu cha maana, kwanza artist unakuwa unajiangusha' kwa sababu humpatii mtu nafasi, ukitoa nyimbo moja kali halafu ikapigwa mara mbili tatu ikapata airtime nzuri halafu ukatoa nyimbo ingine hapo hapo utakuwa umepoteza ela ya nyimbo ya kwanza, watu wengi wanakuwa na haraka tu kutaka kusikilizwa sana, lakini to me naweza kutoa nyimbo ikakaa ika-sastain ikapigwa nikauza, kutoa nyimbo nyingi ni kuwa hauna confidence, inaonekana una uroho wa kukakaa kwenye eardrums za watu. this market is very small!

Sikiliza hapa chini.