The Fast and the Furious Wametangaza Tarehe Rasmi Ya Kuachiwa Sehemu Ya 9


The Fast and the Furious (maarufu kama Fast & Furious) ni Tamthilia ya kimarekani ambayo maudhui yake makubwa ni mashindano ya kukimbiza magari na maisha mengine ya kawaida inayosambazwa na Universal Pictures, Sehemu ya kwanza ya Fast & Furious ilionekana mwaka 2001 ambayo ilifuatiwa na sehemu nyingine zipatazo 7,

Baada ya kufanya poa na misimu yote nane, April 10, 2020 imetajwa kama siku rasmi ambayo sehemu ya 9 itaonekana kwa mara ya kwanza.
 


Ripoti ya Mwezi Mei mwaa huu iliyotolewa na Universal Pictures iliitaja  Fast & Furious kama Tamthilia inayofanya poa kwa muda wote na iliaingiza mkwanja usiopungua Dola Bilioni 5 za kimarekani,


HEMEDY PHD 'Kama Giggy Money alizungumza kwa ubaya kwangu siwezi kuongea kwa ubaya kwake: