Shania Twain Ni Msanii Mwingine Wa Kike Kuvunja Rekodi Ya Billboard

Kwa mujibu wa Ripoti ya Billboard, Albamu Now ya Shania Twain imeingia namba moja kwenye chati za Billboard Top 200 Albums,

Albamu hiyo yenye umri wa miaka 15 inakua Albamu ya pili ya muziki wa Country kushika namba moja kwenye chati hizo kwa mwaka huu.

Shania anavunja rekodi ya kuwa msanii wa kike kushika namba moja baada ya chati hizo kumilikiwa na wanamuziki wa kiume kwa muda wa miaka 3.

Kabla ya Shania Twain Nafasi hiyo ilikua inamilikiwa na Greatest Hits ya Tom Petty.