SELEMENTALLY 'GIGI MONEY NA AMBER LULU WAMEHARIBIKA BAADA YA KUFIKA DAR'

Mkali wa Freestyle anayeiwakilisha Bendera ya Mbeya City Selementally Asema kuwa Gigi Money na AmberLulu wamebadilika Baada ya kufika Dar.

Selementally akihojiwa kwenye kipindi cha The Playlist cha TimesFm na Mtangazaji Lilommy na Radio girl Kattieeh Mkali Selementally amesema kuwa Mrembo Gigi Money na AmberLulu wamebadilika Tabia Baada ya kuja Jijini Dar es salaam,

UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO YA SELEMENTALLY FT BELLE 9-NATAKA KUINUNUA DAR HAPA.