SALMIN SWAGGZ'MARAPA WA KWELI BONGO HAWAFIKI 15'

Mkali wa Rap Music Bongo ambaye pia ni member wa kundi la OMG linalomilikiwa na Switcher Baba Quickrocker.

 Salmin Swaggz amezungumzia suala la uwepo wa  Marapa wakali Bongo akiwa kwenye Kipindi cha ThePlaylist cha Timesfm akihojiwa na Mtangazaji Lilommy amesema''kiukweli sisi ndiyo tumeleta trap music bongo,ilikuwepo lakini sisi tumefanya watu wauelewe vizuri mtaani music wa trap,Na ukizungumzia marapa wakali kwa Hapa Bongo Hawafiki hata kumi na tano yaani wanahesabika kiukweli.''Amesema Salmini swaggz.