RAMMY GALIS'NINAFANYA KAZI NA HAKI NA UKWA WA NOLLYWOOD'Mkali kutoka kwenye kiwanda cha Filamu Bongo Rammy Galis amesema kuwa anatarajia kufanya kazi na Wakali kutokea Nollywood Haki na Ukwa.

 Rammy Galis amesema kuwa  tayari ameshatumiwa 'Script' kutoka NollyWood na kwa anaifanyia mazoezi. "December nimepewa kazi na nakwenda Nigeria kufanya Filamu pamoja na Aki na Ukwa wale wafupi" Amesema Mkali Rammy Galis wa RedFlag na amepata Shavu la usajiri kama msanii wa Filamu Africa Magharibi'Nollywood'.