PROFESSOR JAY ABOMOLEWA NYUMBA YAKE YOTE KIMARA.


Mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva na Mbuge wa Mikumi kupitia Chama Cha Chademu Joseph Haulay aka Professor Jay ni miongoni mwa wau waliobomolewa nyumba zao.

Nyumba hiyo ya Professor Jay ilibomolewa Tarehe 29.09.2017 Mbezi, Kimara jijini Dar es salaam wakati zoezi hilo linaendelea Proessor Jay muda huo yupo jimboni kwake Mikumi akiendelea na kazi zake.

Kupitia kurasa yake ya instagram ya Professor Jay mwenyewe, aliposti picha inayoonesha nyumba ilivyokuwa ikionekana kabla na baada ya kuvunjwa huku akiandika ujumbe mzito na mrefu sana ulioelezea kusikitishwa kwake kwa kuvunjwa kwa nyumba hiyo ile hali yeye yupo Mikumi na kuongeza kuwa kilichomsikitisha Zaidi ni kwamba umeme ulikuwa unawaka wakati zoezi linaendelea na kushangaa kivipi Tanesco walikuwa hawana taarifa za ubomoaji huo na kuacha umeme uwake wakati ingebidi umeme uzimwe.

Kingine ni kwamba Professor Jay anasema hakupata hata muda wa kuokoa kitu hata kimoja!


Professor Jay aliandika 'Mimi ni mmoja wa wahanga wa hili zoezi la kubomolewa nyumba zetu huku Mbezi Kimara Tarehe 29/9/ 2017.
Jana nikiwa katika majukumu jimboni Mikumi Majira ya saa kumi mbili hivi jioni, nilitaarifiwa kwamba, watu wa Tanroads wakiwa wameambatana na grader mbili na magari mawili ya polisi (defenders) yenye askari waliokuwa na silaha mbalimbali za moto walikuwa wanabomoa nyumba yangu. (sijawahi kuumia kiasi hiki 😭) Nimesikitishwa sana jinsi Tanroads wanavyoweza kujichukulia maamuzi bila ya kujali mhimili muhimu wa Mahakama wametoa maagizo gani. 🤔 Na taratibu zilizotumiwa kubomoa nyumba yangu bila ya mimi na Tanesco kupewa taarifa saa kumi na mbili jioni (haukuwa muda wa kazi) na kubomoa huku Umeme ukiwa unawaka ni kitendo ambacho kwanza kina hatarisha'
CHEGE "Mimi naamini JUMA NATURE Dakika yoyote anaweza tena akaweka Ngoma Namba Moja'