@OfficialAliKiba anakutana na @Patorankingfire kwenye ngoma moja ndani ya #CokeStudioAfrica Jumamosi hii.

Mkali Alikiba anakutana na mkali Patoranking kwenye ngoma moja Jumamosi hii, October 7, 2017 kwenye Coke Studio Africa.

Show itaruka LIVE Kupitia CloudsTV Saa 12 jioni