VIDEO @OfficialAlikiba alivyorudia My Woman, My Everything ya @Patoranking kwenye #CokeStudioAfrica


Alikiba na Patoranking wamekuwa wasanii wa mstari wa mbele wiki hii kwenye msimu wa tano wa Coke Studio Africa.

Alikiba alirudia ngoma ya Patoranking wa Nigeria My Woman, My Everything na Patoranking nae akarudia ngoma ya Alikiba Chekecha Cheketua

Angalia COVER ya Alikiba hapa:

 

Angalia COVER ya Patoranking hapa

 

COKE STUDIO AFRICA ni kila Jumamosi Saa 12 jioni kupitia CloudsTV na katika channel yao ya YouTube.com/CokeStudioAfrica

Patoranking ndani ya Coke Studio Africa.

Alikiba

Alikiba