NYIMBO KALI 5 ZA HIP HOP ZILIZOTIMIZA MIAKA 10 MWAKA 2017...

Imekua kama kawaida kwa wasanii wengi kusherekea miaka kadhaa tokea waanze kuimba au kuachia album, mfano hapa nyumbani tumeona Saida karoli, Dully Sykes na wengine wengi wakisherekea miaka kadhaa tokea waingie rasmi katika industry ya Bongo fleva.

Sasa leo nimekuletea nyimbo kali tano za Muziki wa Hip hop kutokea Marekani ambazo zimeweza kutimiza miaka 10 ndani ya mwaka huu 2017...

1.  Kanye West - Stronger
2. Jay Z - I Know


3. Lupe Fiasco - Put You On The Game


4. 50 Cent - I Get Money


5.  Common - The People