NEW VIDEO: CHRIS BROWN FT FUTURE & YOUNG THUG

Christopher Maurice Brown a.k.a Chris Brown anazidi kuithibishia dunia kua ujio wake wa album wa ''HEART BREAK ON A FULL MOON'' upo tayari, hiyo ni baada ya kuachia video nyingine mpya ''HIGH END" humo ndani Future na Young Thug wakila shavu la kutosha lakini pia kuna special appearance wa mastaa kibao kama Trey Songz, Fabolous, Teyana Taylor, Brian Cage na Rey MySterio Jr.

HEART BREAK ON A FULL MOON imarajiwa kuachiwa Mwezi huu mwishoni October 31, ikiwa ni siku ya Halloween.

Itazame High End Hapa Chini...