NEW VIDEO: AMINE-SPICE GIRL

Kitu juu ya kitu! Baada kutamba sana na ngoma yake yake Caroline ambayo ilifika mpaka namba 11 katika chati za Billboard, sasa Amine kaja na hii nyingine inaitwa ''Spice girl''

Karibu kuitazama hapa chini...

Aminé - Spice Girl