NEW MUSIC: JASON DERULO - BUM BUM TAM TAM (Remix)

Baada ya mwezi mmoja tu kuisha tokea aachie ngoma mpya iitwayo IF I'M LUCKY, Jason Derulo hajalala, kaamaua kuingia Brazili na kutuletea hii Club Banger Remix ya Jamaa aitwaye Mc Fioti, track inakwenda kwa jina la BUM BUM TAM TAM...

Isikilize hapa Chini...

Part1: MADEE 'Wakati nipo Paris, Sikukutana na Shilole kabisa'