Nelly amekamatwa na kesi ya kubaka ndani ya tour bus!

Rapa kutoka St. Louis Cornelly Iral Haynes aka Nelly mwenye miaka 42 alikamatwa kwa kuhuma za kubaka Jumamosi ya tarehe 7 Octoba, 2017. baada ya msichanna mmoja kumshitaki kwa kumbaka pande za Washington, kwa mujibu wa TMZ.

Polisi walipokea simu majira ya 3:48 am kutoka Kwa msichana huyo na kusema kuwa Nelly amembaka kwenye tour bus walipikuwa wakiendao kwenye show yake White River Amphitheater. No kudakwa majors ya 7 am.

Wakili wa Nelly ametoa tamko la kukanusha kitendo hicho “Nelly is the victim of a completely fabricated allegation. Our initial investigation, clearly establishes the allegation is devoid of credibility and is motivated by greed and vindictiveness,” said his lawyer. “I am confident, once the scurrilous accusation is thoroughly investigated, there will be no charges. Nelly is prepared to pursue all all legal avenues to redress any damage caused by this clearly false allegation.”

Lakini Nelly kupitia Twitter alikanusha tuhuma hizo.