MR BLUE 'KUPATANA KWA LADY JAY DEE NA MWANA F A NI KITU KIZURI'

Mkali wa 'Siwezi' Mr blue Byser amezungumzia suala la kupatana kwa Legendaries wa BongoFlavour Lady Jay dee na Binamu Mwana F A.


Kuhusiana kupatana kwa wakongwe kwenye Game ya BongoFleva Mwanadada Lady Jay Dee na Binamu Mwana F A,MR BLUE alipoulizwa kupatana kwao anakuzungumziaje amesema'Unajua ugomvi sio kitu kizuri,si kitu kizuri sana kama mtaani kuna wakubwa ambao tunawaangalia alafu hawapatani unakuwa sio mtaa mzuri,na hakuna mtaa usiokuwa na wakubwa.Wale ni wakubwa kwenye industry ya Bongo Flavour so kupatana kwao ni kitu kizuri kwenye game.'Amesema mkali Mr blue.
Check picha aliyoipost Lady Jay Dee kupitia ukurasa wake wa Instagram akiwa yeye na mkali Mwana F A na hii ikiashiria kwa sasa wanaelewana.


          HAYA NDIYO MAFANIKIO ALIYOYAPATA MR BLUE KWENYE MUZIKI