MODEL TAHIYA:MIMI NA DIAMOND PLATNUMZ TUNAJUANA


Video Quen Tahiya amefunguka na kuelezea kwa kile kinachoendelea kwenye mitandao ya kijamii na Vyombo vya Habari.

Model Tahiya hivi sasa anahusishwa kuwa anatoka kimapenzi na Chibu Dangote Diamond Platnumz lakini ameibuka na kuongea ukwelio kuhusu rumors za yeye kutoka na Chibu''hii imeanza baada ya kupost kwenye mtandao,sijaanza kupost karanga leo wale yeye kwa yeyote yule anayenifuatilia anajua is been a while kumpost Chibu na Hata Karanga zake. I have nothing to do with him,Eti me ndiyo mainchick wake eti ata wazazi wake wananijua,kama watu hawajui kuhusu mimi na Chibu ni kwasababu familia zetu zipo karibu na ata kwenye Birthday Part yake nimeenda because nimealikwa kama waalikwa wengine''.Amefunguka Mrembo Tahiya,

TAZAMA JINSI MREMBO TAHIYA ALIVYOTISHA KWENYE UZINDUZI WA THE PLAYLIST: