MKUBWA FELLA:DIAMOND PLATNUMZ HANUNUI VIEWERS YOUTUBE

Mkubwa Fella amevunja ukimya juu ya suala la watu kudai Mkali Diamond Platnumz kununua Viewers kwenye mtandao wa Youtube baada ya kupata viewers wengi.


 Mimi nawashangaa watu wanaosema kuwa wimbo DiamondPlatnumz ananunua viewers kwenye mtandao wa Youtube,''mtu anamashabiki wengi east africa na africa nzima na hata duniani alafu pia angalieni ata instagram anawatu wengi sana angekuwa na followers 20 sawa ata mimi ningejiuliza.Na kingine DiamondPlatnumz anawatu ambao wanamsapoti vizuri na kumsimamia kazi zake,sasa hivi kama watu hawajui DiamondPlatnumz anamanager Mmalekani ambaye anafanya yote hayo na hato collable zote unazozisikia za MorganHeritage na hata Mkali  Neyo.'' Amesema Mkubwa Fella.

KAMA ILIKUPITA HII MSIKILIZE DIAMOND PLATNUMZ AKIELEZEA KISA CHA Q BOY KUONDOKA WCB