Mfahamu Mtu Wa Kwanza Kuinunua Albamu Ya "The Best Of Benpol

Back in Septemba, Tanzanian RnB King Ben Pol alitangaza ujio wa "The Best Of Ben Pol", Albamu yenye mchanganyiko wa ngoma zake zote kali.

Albamu tayri ipo sokoni na Ben Pol kwenye Instagram amemtaja African Princess "Nandy" kama mteja wa kwanza kuinunua CD ya Albamu hiyo.


A post shared by BEN POL #KIDUME (@iambenpol) on