MADEE'NANDY ANAFANYA VIZURI'


Heat Maker wa wimbo wa #Sema Madee ali ameelezea hisia zake kwa Wasanii wa kike wa ambao wanafanya vizuri kwenye BongoFleva.


Madee ali amefunguka na kuweka wazi kuwa anamkubali The African Princes 'Nandy'.''Kwa wasanii wa kike hapa Bongo ukiangalia kwa wanaofanya vizuri hauwezi kumuacha Nandy,Wapo wengi wanaofanya vizuri kama wakina vannesa,maua sama na wengine lakini Nandy ni Mmoja wao kati ya haowanaofanya vizuri na ndiyo Maana nikamshirikisha kwenye Wimbo wangu wa Sema.'' amesema Madee.

WASANII WA HIPHOP NJE YA MEDIA WANAKIRI KUWA HIPHOP HAIUZI