LIST YA NGOMA TANO ZINAZOFANYA VIZURI NIGERIA

Kwenye Burudani Nigeria Inafahamika sana kutokana na Ukubwa wa wasanii na kufanya vizuri hadi nje ya mipaka ya Nigeria kama vile Mkali Wizkid,Davido,Tiwasavage,Tecno na kadhalika na hii ndiyo list ya ngoma tano zinazofanya vizuri Nchini Nigeria.


Hii ni List ya Ngoma Tano zinazofanya vizuri nchini Nigeria,Namba moja ameshika Mkali Kiss Daniel na ngoma yake ya Yeba.

                                                             Kiss Daniel-yeba Song Cover

Namba mbili amesimama Mkali Olamide na ngoma yake ya Wo!


Olamide-Wo! Song Cover

Namba Tatu amesimama Mkali Mayorkun na ngoma ya Mama

                                                           Mayorkun-Mama Cover song

Namba nne amesimama Mkali Harrysong na ngoma ya Record Of Life

                                                 Harrysong-Record Of Life Cover Song

 Na Namba Tano amesimama Mkali J Consequence Ft. Olamide na ngoma ya Assignment

                                     J Consequence Ft. Olamide – Assignment Cover Song

Hiyo  ndiyo list ya Ngoma Tano zinazofanya Vizuri Nchini Nigeria.Na namba moja amesimama Mkali Kiss Daniel na Wimbo wa Yeba,Namba mbili amesimama Mkali Olamide na Wimbo wa Wo!, Namba Tatu amesimama Mkali Mayurkun na Wimbo wa Mama,Namba Nne amesimama Mkali Harrysong na Wimbo wa Record of Life na Namba Tano amesimama Mkali J Consequence Ft. Olamide na Wimbo wa Assignment.