Mwanamuziki mkongwe kwenye game ya Bongo flavour Lady Jay Dee ametoa ahadi kwa mashabiki wa music wa Bongo flavour kuwa wakae tayari kwa ujio mpya wa Video ya Wimbo wa I miss You.
Kupitia ukurasa wake instagram Mwanamuziki mkongwe Nchini Lady Jay Dee amewataarifu mashabiki wakekwa ujio mpya ya Wimbo wake mpya wa I miss You '' Baada ya hii teaser, hii video isipotoka basiiiiiiii..,natoa wimbo mwingine ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜..,.'' Ameandika Lady Jay Dee na kaweka kipande kidogo cha wimbo huo utizame hapa.
TAZAMA HAPA MKONGWE LADY JAY DEE AKIELEZA SABABU ZA KWANINI AMERAP KWENYE WIMBO WA I MISS YOU