KOURTNEY KARDASHIAN: NIPO FRESH SCOTT KU "DATE" NA SOPHIA...

Kourtney Kardashian hata tatizo kumona  Ex-Men wake akidate na  mtu mwingine, "Kama yupo poa, na mimi nipo poa," alisema Kourtney ambaye amezaa watoto watatu na Scotty Disick.


Chanzo kutoka katika familia ya Kardashian's kinasema Kourtney hajaumizwa na kitendo hicho na ndiyo maana yupo busy na mpenzi wake mpya ambaye ni model Younes Bendjima. 

 Kourtney Kardashian na Younes Bendjima.

Scotty Disick ameonekana mara kadhaa na mtoto wa Rionel Richie, Sophia Richie amabye ana miaka 19 tu, lakini hiyo mi ''same'' kwa Ex baby wake Kourtney ambaye ana date na model huyo aliyemzidi miaka 14.
Scotty Disick akiwa na mpenzi wake wake mpya Sophia Richie.Part2: MADEE 'Kuhusu Hip Hop haiuzi ni kitu ambacho kipo wazi, Wasanii nje ya media wanakubali hilo'