HEMEDY PHD 'Sijawahi kudate na Giggy Money' kama amenizungumzia kwa ubaya kwangu, siwezi kuzungumza kwa ubaya kwake.Hemedy PHD amekanusha stori za kitaa kuhusu kudate na Video Queen wa Bongo na Msanii Giggy Money na kushangazwa kwanini jina lake lilihusika! alisema kama Giggy amemuongelea kwa ubaya, yeye hawezi kumuongelea kwa ubaya, aliwataka mashabiki kumsapoti Giggy kwenye ngoma yake mpya ya Papa, Hemedy alichana stori hicho kwenye interview yake aliyofanya Times FM kwenye kipindi cha The Playlist.

Angalia hapa: